Friday 21 February 2014

HAYA NDIYO MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

Matokeo ya kidato cha nne 2013 yatangazwa na kiwango cha ufaulu chapanda





Fungua hapa kuyasoma zaidi,

http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm

2 comments:

  1. Viwango vya ufaulu vimeshuka sana sikubaliani na serikali inayosema kiwango cha ufaulu kimeongezeka, nikiwa na maana serikali imetutengenezea mabomu majibu yake tutayapata soon maana tunaandaa wataalumu mambulula, kama daraja la III hadi point 31 tutegemee nn hapo? wizara ya elimu imechemsha, kama lengo lao lilikuwa kutufurahisha wazazi tuone watoto wamefaulu big NOOO!!

    ReplyDelete